hk CONTACTS

hk CONTACTS

Wednesday, August 28, 2013

MARLOW NA BESTA WAPATA MTOTO WA KIUME....



Familia ya hitmaker wa Pipipi, Marlow na mke wake Besta imeongezeka rasmi jana baada ya kupata mtoto wa kiume. Akiongea na Bongo5 leo, Marlow amesema mtoto huyo ambaye hajapewa jina bado, anaendelea vizuri pamoja na mama yake.

Tunawapongeza Marlow na Besta kwa hatua hiyo kubwa kwenye maisha yao

No comments:

Post a Comment