hk CONTACTS

hk CONTACTS

Friday, August 30, 2013

YALIOJIRI KWENYE UZINDUZI WA VIDEO YA DIAMOND PLATNUM.....MY NUMBER ONE


Hamis Mwinjuna A.k.a Mwana F.A alikuwepo pia kushow Love....
ingia kwa picha zaidi


Interiew zinahusika sana sehemu kama hizi....

Sauda wa Bongo Beats ya Star Tv nae akukosekana ndani ya nyumba.....
Chege Chigunda Toka TMK nae alikuwepo.....
Flowers awakosekanagi sehemu kama hizi.......
wakiongozwa na Number One Diva Hamisa
hassani Mobeto.






Mzee Muhidini Gurumo nae akukosekana
ndani ya Nyumba.....Furaha Ilioje kumuona
Nguli wa Muziki wa Dansi nchini akiudhuria
kwenye kitu chako,binafsi nimefurahi
sana uwepo wake ulizidi kuimarisha moyo wangu.

Prince Brother Man Dully Sykes akiwasili
ndani ya Nyumba pembeni na FloweR
Shadee toka Clouds Tv,presenter wa Cloud 9...


Shadee & Dully...Mmmmmh....??? Aya sina usemi
Kama kawaida......
Sarah A.k.a Shaa nae ndani 
Movement zikiendelea na mahojiano mbalimbali
kati ya wasanii na presenters wa vituo mbalimbali
vya Habari & Blogs kiujumla wakiwa kazini....





Mama yangu Mdogo yanii nikimaanisha Mdogo
 wake na mama yangu mzazi Bi Sandrah Sammy
Asha Baraka,Manager na Owner wa Twanga Pepeta nae alikuwepo...


Mwenyewe Naseeb Abdul Nilipowasili,Shuguli ikawa imefikia patamu sasa......




Nikijibu maswali tofauti tofauti toka kwa waandishi wa Habari...


Jacquline Wolper toka Bongo Move nae akukosekana.....


Jacquline wolper & Qboy Msafii......


Kwenye Red Carpet nikiwa na Dada yangu,Rafiki yangu wa karibu
Penniel Mungiwa,Presenter wa DTV...
Thanks For Coming Buddy.....

The True Boy Is in the building....
Proffesor Jay a.k.a Father House nae alikuwepo
 kushow Love kwa mdogo wake.....

2 comments:

  1. sijaelewa..... NANUKUUU...
    Kwenye Red Carpet nikiwa na Dada yangu,Rafiki yangu wa karibu
    Penniel Mungiwa,Presenter wa DTV...
    HAYA NI MANENO YA NASIBU MWENYEWE AU YAKO WEWE HK?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Maneno ya nasseb mwenyewe wala sio yangu mie

      Delete