hk CONTACTS

hk CONTACTS

Wednesday, August 28, 2013

CHEK ALICHOSEMA DIAMOND..KWA BLOG YAKE..MIMI NAONA NI SAAWIA KABISA........AU WEWE UNASEMAJE....???


Kwenye Mapenzi kuna mengi ya kupitia,mapenzi ni
kama maisha ya kila siku,kuna kupata na kukosa
lakini ukijaaliwa uzima unaendelea kupigana hadi
mwisho cha msingi kuto kukata tamaa...


Kwenye mapenzi yakubidi uwe mvumilivu,mwenye
 mapenzi ya kweli na muaminifu ili kulinda
penzi la dhati toka kwa mwenzi wako pindi
unapokuwa kwenye dimbwi la mapenzi....
Ikitokea bahati mbaya siku ukamfumania mpenzi
wako na Kisha ukaweza kumsamehe Basi wewe
ndiye my #Number One........Binafsi kigezo hiko
 naweza tumia mimi binafsi kama Naseeb Abdul
Juma,maswali nakuachia wewe
mtu wangu wa kweli Je wewe ukimfumania mpenzi
wako waweza msamehe na kuendelea
kuwa na mahusiano kati yenu wawili......??
Msamaha utakaokutoka ni kweli ni
wa dhati toka moyoni......?? Mi nimemaliza
nahitaji sikia vigezo vyako kumjua number one wako..
.

No comments:

Post a Comment