hk CONTACTS

hk CONTACTS

Sunday, July 7, 2013

HATIMAYE MAMA MONALISA AFUNGA NDOA

Hatimaye Mama Monalisa afunga ndoa



1013544_481483915259547_1374014071_n
Natasha Mama Monalisa na Mume wake mpya
Baada ya kitchen party,kuvishewa pete..hatimaye ile siku iliyokuwa inasubuliwa imefika baada ya mama Monalisa kufunga ndoa na kuishi mazingira ya mume na mke na mumewe huyu mpya. Hongera sana mama.

No comments:

Post a Comment