hk CONTACTS

hk CONTACTS

Thursday, May 2, 2013

VIBAKA WAKAMATWA BAADA YA KUTAKA KUWAIBIA MAJERUWI KWENYE AJALI



Hawa hapa vibaka ambao wanastahili adhabu kali sana kutokana na tabia zao mbaya, inapotokea ajali wao moja kwa moja wanataka kuiba na si kuwasaidia watu waliopata matatizo kwenye ajali hizo mtindo huu hupo sana na unakera sana tunaiomba serikali itoe adhabu kali kwa hawa vijana na iwe mfano wakuigwa na wengine waogope kufanya kitendo iko cha kinyama.




umati wa watu ukitokea kwenye ajali

No comments:

Post a Comment