hk CONTACTS

hk CONTACTS

Wednesday, May 29, 2013

SNURA HASITISHA SHOW YAKE YA UZINDUZI WA MAJANGA MPAKA MSIBA UISHE

Kupitia ukurasa wake na page yake ya facebook msanii snura ametangaza rasmi kusimamisha show yake ya uzinduzi wa video yake ya majanga mpaka hapo atakapoitangaza tena siku ya uzinduzi huo.show hiyo ambayo ilikuwa ifdanyike jumapili hii@new maisha club dar haitokuwepo tena na sasa tunaomboleza juu ya kifo cha msanii mwenzetu ALBET MANGWEA aliandika"


No comments:

Post a Comment