hk CONTACTS

hk CONTACTS

Friday, May 10, 2013

ANGALIA MAKING VIDEO YA MAJANGA YA MSANII SNURA NDANI YA SOUTH AFRICA

 Video ya wimbo wa MAJANGA wa SNURA imefanyika katika nchi mbili tofauti ambapo ni TANZANIA na SOUTH AFRICA kwa TANZANIA itafanyika magwepande wilaya ya pwani  hivi karibuni kumalizia vipande vya video hiyo na SOUTH AFRICA imeshafanyika katika mji wa PRITORIA NA JOHANESBUG. ni video inayoonyesha mazingira halisi ya wimbo huo kwa kila eneo, mastar mbalimbali wataonekana katika video hiyo ya majanga akiwepo JACKLINE WOLPER,CHUCHU HANS,CHEK BUDI,DUDE, na wengine kibao.Akiongea manager wa SNURA hemedi kavu a.k.a hyperman hk.alisema video hiyo kwa sasa inafanywa na kampuni ya EMAGE ARRAY chini ya msimamizi mahiri na machachari ABBY KAZI.
 Siku ya jumanne ijayo ya tarehe 14 tunategemea kwenda magwepande kumalizia vipande vya VIDEO hiyo ya wimbo unaotikisa jiji kwa sasa wa majanga uliotengenezwa katika studio za FIRE MUSIC chini ya producer mkali MORE FIRE.









Kaa mkao wa kula moja kati ya video za kiafrica zitakazovuka boda majanga ya snura ndio habari ya mjini.

1 comment: