hk CONTACTS

hk CONTACTS

Wednesday, May 8, 2013

M23 WATOA VITISHO VIKALI KWA TANZANIA KWA MARA YA PILI KUPITIA TWITTER



Kuptia Tovuti ya kijamii ya Twitter Jeshi la waasi wa nchini DRC kimetuma ujumbe wa vitisho kwa Waziri wa Mambo ya Nje Bernard Membe, kufuatia kauli aliyoitoa Bungeni leo kuhusu Tanzania kupeleka jeshi lake DRC kukabiliana na waasi hao.

Ni hii ndio tweet yao
M23 Congo RDC ‏@m23congordc 16h @ Bernard Membe tunasubiri majeshi yako Congo. Usidaganye bunge lako eti Tanzania inakuja zima moto,bali munakuja kuweka mafuta kwenye moto.Bofya hapa chini kusoma zaidi 

M23 Congo DRC

 MAJIBIZANO  YAO  NA  WAZIRI  MEMBE


Picture
Picture
Picture
Do you like this post? Please link back to this article by copying one of the codes below.

No comments:

Post a Comment