Tuesday, 7 May 2013
"Ukweli ni mambo ya fedheha, mdogo wetu Chidi Benz,
nnacho weza kusema mdogo wetu ni kwamba unga anaovuta sasa hivi unampeleka
pabaya umeona eeh, tena mimi kama kaka yake namshauri aachane na matumizi ya
madawa ya kulevya kwasababu mwisho wake utampeleka pabaya, mimi niko back stage
nna show yangu nipo kazini, tupo seious watu wa hiphop, miaka mingi tulikuwa
tuna nadi amani hatutaki matatizo na watu unaona bana, hawa ni watu ambao kwa
namna moja ama nyingine wanasababisha hiphop ishindwe
kwenda mbele na kusababisha hiphop ishindwe kwenda
mbele na kuwapa mafanikio watu wa hiphop.tumeandaa show yetu nzuri, ilikua bonge
ya show moja kali ya hiphop Tanzania kuwahi kutokea, show ambayo imekutanisha
wasanii wakali wa hiphop ambao sasa hivi wanavuma, mi niko back stage naskia
sauti ya Chidi Benz ameshika mic, muda ambao mi natakiwa kuwa stage naperfom, sa
Chidi Benz ametokea wapi mbona kwenye ratiba yetu ya show hayupo, anaongea ubabe
anakamba.yupo stage mi niko back stage bado, mi nikawaambia watu wangu vipi,
huyu mtu mbona mnamuachia anatuharibia show? hasa watu ujue, ujue msanii, yaani
jana ndio nimekubali msanii ni mtu mwenye hadhi na heshima kubwa sana sema Chidi
Benzi amejishushia hadhi yake na heshima yake .Watu wakawa wanashindwa kumfanya
kitu wakiangalia huyu ni mtu maarufu anajulikana, watu wakawa wanamplease
kiustaarabu, Chidi eeh shuka hii show haikuhusu, sasa watu walivyokuwa
wanamplease akawa anaona labda watu mafala au nini umeona
eeh.
sasa mimi kitendo kimechukua kama dakika saba au
nane hivi, bado yuko tu stage ameng'ang'ania, ananichelewesha mimi muda wa
kuperfom, watu wanataka kuona show yangu, watu wamelipa hela zao, wameacha
shughuli zao waje kumuona kalapina, ye anataka kuzkwaza watu wasimuone Kala
pinia, huyu mtoto si adui jamani......." amesema Kala Pina ..endelea kumsikiliza
hapo chini
baada ya kuzungumza hayo Chidi aliandika haya kwenye
ukurasa wake wa facebook
"Siku moja professa J alipanda stage Bilz mimi napafom,kwa
furaha zake na akanipora mic na kuanza kuchana ngoma zangu.watu wakajua
nitamsukuma au kumpiga kutokana na aliyokua anayafanya pale.kama broza
sikumfanya chochote..nilijua mizuka ya kisanii.tulimaliza show na tukaendelea na
story. Hakuna Ubaya mpk Uutengeneze
ubaya.peace"
its more about music industry and
social issues in and out of bongo land
No comments:
Post a Comment