hk CONTACTS

hk CONTACTS

Friday, May 24, 2013

HUU NDIYO UJUMBE WA ''DIVA LOVENESS LOVE'' KWENDA KWA ''PREZOO'', KUMPA SUPPORT PREZOO MAHAKAMANI




Licha ya kutoweka wazi nini kilichompeleka mahakamani,JANA Prezzo alitweet kueleza kuwa ana imani na mfumo wa mahakama ya Kenya na kwamba ukweli utajulikana.Thanks to everyone who wished me well. I have faith with the Kenyan judicial system. The tuth shall prevail. 
Kutokana na hatua hiyo, mtangazaji wa Clouds FM,Mwanadada Diva ambaye kwa mujibu wake mwenyewe ni mpenzi wa Prezzo amemtumia ujumbe huu Prezzo:

No comments:

Post a Comment