hk CONTACTS

hk CONTACTS

Wednesday, May 8, 2013

HABARI YA MJINI; NIKKI MBISHI AMUIMBA NEY WAMITEGO KWAKUMWITA NEEMA WAMITEGO



 


Ile ngoma ambayo ilikuwa ikisubiriwa kwa hamu baada ya kutangazwa kwa muda mrefu toka kwa  rapper Nikki Mbishi imeachiwa rasmi leo...

Nikki amesema kuwa ngoma hiyo ambayo inakwenda kwa jina la "NEEMA WA MITEGO" ameiita hivyo kama ni jina la kawaida akiwa  amelenga kwenye burudani zaidi na wala hakuna BEEF na mtu yeyote
SIKILIZA HAPA WIMBO WAKE
http://www.gongamx.com/profiles/blogs/new-music-nikki-mbishi-neema-wa-mitego

No comments:

Post a Comment