hk CONTACTS

hk CONTACTS

Monday, April 15, 2013

R.I.P BABU SAMBEKE


HABARI za kusikitisha tulizozipokea muda mfupi uliopita ni kwamba mfanya biashara maarufu mkoani Kilimanjaro  anayefaamika kwa jina la Babu Sambeke amefariki dunia kwa ajali ya ndege huko mkoani Arusha, ndege hiyo ambayo mmiliki alikuwa ni Babu Sambeke inasemekana imepata ajali leo jioni na kupelekea vifo vya watu wawili ambao ni Babu Sambeke na mtu mwingine ambaye mpaka sasa jina lake kalijatambulika. Inasemekana ajali hiyo imetokea jijini arusha ambapo babu alikwenda kwa shughuli zake za Kibiashara.




No comments:

Post a Comment