hk CONTACTS

hk CONTACTS

Sunday, April 7, 2013

Pumzika kwa amani The Great Steven Kanumba -Mwaka mmoja tangu kifo chake

 Leo mwaka umepita tangu aliekuwa muigizaji nguli nchini, Steven Charles Kanumba atututoke. Kanumba atakumbukwa kama mmoja ya wasanii waliofanya tasnia ya filamu nchini izidi kukua na kupendwa hadi kuteka soko ambalo kwa kiasi kikubwa lilikuwa likishikiliwa na wasanii wa Nigeria. Aliondoka wakati bado hajayafaidi mafanikio na kushuhudia namna mapinduzi aliyofanya yalivyotengeneza ajira kwa vijana wengi.




Pumzika kwa amani The Great Steven Kanumba

No comments:

Post a Comment