
Kundi la wasanii kutoka Nigeria ambalo linafanya vizuri sana katika tasnia ya muziki Africa likijulikana kama P-Square,ambapo kwa sasa wanatamba na track yao inayojulikana kama ''Alingo'' sasa wawekeza pesa za kutosha katika biashara ya uuzaji wa mafuta.


No comments:
Post a Comment