MSANII WA TAARABU HAMMER Q AVUTA JIKO
HAMMER Q AKIWA NA MKEWE
Yule mkali wa hit song ya npembe la ng'ombe
hammer q hivi karibuni amefunga pingu za maisha na mwanadada anaejulikana kwa
jina la salha,kwa mujibu wa chanzo chetu kilisema harusi hiyo ilikwenda fresh
kama ilivyopangwa ,x deejayz mnamtakia ndoa njema na yenye baraka.amin
No comments:
Post a Comment