African Film Development Awards ni project ambayo ipo chini ya foundation ya The African Film Development ambayo makao makuu yake yapo Gambia. Project hii/awards hizi ni maalum kwa ajili ya kutambua mchango wa watu/taasisi/serikali katika juhudi zao za kuchangia kwenye maendeleo ya filamu Africa.
Mwaka huu The African Film Development foundation wameileta shughuli hii hapa Tanzania ambapo itafanyika Dar es salaam kwenye hoteli ya kimataifa ya Hyatt Regency June 29,2013.Pia itaenda pamoja na kutoa lecture kuhusu African movies pamoja na kuziangalia pamoja na watengenezaji filamu kutoka Africa na Hollywood,Film Promoters,distributors na wachambuzi. Shughuli hii ya kuangalia filamu za kiafrica na wadau wote itafanyika kwenye ubalozi wa Marekani ikiwa ni kabla ya shuguli nzima pale Hyatt Regency.
The good thing pia awards hizi zitakuwa-hosted na

No comments:
Post a Comment