FILAMU ya Love & Power ambayo
ndio kazi yake ya mwisho kuigizwa na msanii wa filamu nguli Bongo marehemu
Steven kanumba inatarajiwa kuingia sokoni baada ya msambazaji wa filamu hiyo
kuikamilisha na kusema kuwa filamu hiyo itanarajiwa kuingia sokoni mwezi wan ne,
filamu ya Love & Power ni kazi ya kipekee kuigizwa na msanii huyo kabla ya
umauti kumfika ni filamu aliyorekodi siku za mwisho kabisa.
.
Filamu ya Love & Power ya marehemu
Kanumba.
No comments:
Post a Comment