USIKU WA KILI XTREME DJZ ULIVYOFANA @NEW MAISHA CLUB DAR
Baada yakufanya poa NEW MAISHA CLUB MTWARA wiki iliyopita Usiku wa jana XTREME DEEJAYZ waliendeleza burudani safi na ya kinyama katika jumba la burudani dar es salaam NEW MAISHA CLUB, Kundi hilo la madeejayz linaloundwa na DVJ MAJEY na HYPERMAN HK walifanya balaa kubwa sana kwa kupiga ngoma kali na kukubalika kwa asilimia mia moja na wapenzi wa burudani dar es salaam.Wakali hao wa xtreme deejayz alhamis hiii ya tar 31 ya mwenzi wa kwanza watakuwa NEW MAISHA CLUB DODOMA kwenye kili night ambapo kiingilio itakuwa elfu 5000 na kina dada wataingia bure kabisa.usikose maujanja haya yakinyama sana kutoka kwa KILI XTREME DEEJAYZ ambayo imedhaminiwa na KILIMANJARO PREMIUM LAGER, BONGE LA KIBURUDISHO KWA WATANZANIA
People having unstoppable fun from kili extrene deejayz
Totoz za kumwaga zilikuwepo kuona makali ya xtreme deejayz
TISHERRRR SANA VIJANA
It was crayze
DJ KU with the friend In da house
NO COMENT
GILLA THE BOSS n COSTEMER CARE
These are kili XTREME DEEJAYZ who were rocking the show,HYPERMAN HK with DVJ MAJEY.
SWAGGZ WERE ON
DJ ALLY B WAS IN THA HOUSE
HAPPY PEOPLE
No comments:
Post a Comment