Wale madeejay wakali wanaounda kundi la kili xtreme deejayz DVJ MAJEY na
HYPERMAN hk alhamiss hii ya tar 24 watakuwa new maisha club mtwara na
baada ya hapo watakuwa dare salaam jumamosi hii ya tar 26 new maisha
club dar na dodoma watakuja tar 31 mwenzi huu wa kwanza. Cruew hii ya
madeejay inayodhaminiwa na kilimanjaro primium lager inazunguka mara 3
kila mwenzi kwenye club za za new maisha club zilizopo dar dodoma na
mtwara. Usikose kuja kuona maujanja ya kinyama yanayofanywa na wakali
hawa wa jijini dare es salaam.
No comments:
Post a Comment