hk CONTACTS

hk CONTACTS

Thursday, April 7, 2016

SNURA AACHIA COVER YA KWANZA YA CHURA VIDEO DANCE COMING SOON

Yule mwana dada anaetamba kwa sasa na wimbo wa chura, snura mushi ameachia cover yake ya kwanza kati ya kumi kali kwa ajili ya kupromoti video yake ya chura... alipoulizwa na blog hii ya burudani snura alisema,.. leo nimeachia cover hiyo kwa mara ya kwanza kupitia accaunt ya @msetoea ya kenya kwenye instagram kwasababu kenya ndio sehemu ambayo kwa sasa ngoma hiyo inafanya vizuri sana radioni. pia alisema video hiyo ya chura amewatumia wasichana mbalimbali wa kitanzania kufanya matukio mbalimbali yeye kama yeye hayupo kwenye video hiyo ni dance tupu za chura ndio zitakazoonyeshwa humo kwa video. ambayo imefanya na director pabro.

1 comment: