hk CONTACTS

hk CONTACTS

Tuesday, April 5, 2016

MALKIA WA MSAMBWANDA KUPATA ZAWADI YA PIKIPIKI

 

Kila jumatano Maisha basement inakuwa na burudani ya ngoma za asili ya Tanzania kama,vanga,mdundiko,kibao kata,baikoko,matarumbeta na n.k  usiku huo uliopewa jina la usiku wa msambwanda wamekuandalia mashindano maalum ya Malkia wa msambwanda ambapo wanawake mbalimbali watashindania zawadi ya pikipiki yenye thaman ya tsh million 2.5 . hii ni kwa mara ya pili shindano hilikufanyika mwaka jana msichana anaejulikana kwa jina la saibeka alichukua zawadi ya piukipiki.yenye thaman ya tsh million mbili. Kama we ni msichana unauwezo wakucheza miondoko mbalimbali yenye kutumia kukatika kwa kiuno basi una nafasi yakushiriki mashinado haya.akiongea nasi mratibu wa mashindano hayo MAIMATHA WA JESSE alisema shindano litaanza hivi karibuni jumatano hii tutaanza kwa kutambulisha washiriki wa shindano hilo wiki inayofuta tunaanza na mashindano hayo.yatakayofanyikamaisha basement iliyoko makumbusho dar es salaam kiingilio kitakuwa ni tsh elfu 10.read more





No comments:

Post a Comment