hk CONTACTS

hk CONTACTS

Thursday, January 28, 2016

KARAOKE YAPAMBA MOTO KILA JUMANNE MAISHA BASEMENT

 Katika hali isiyofikirika siku ya jumanne imekuwa siku kubwa sana maisha basement kwa sababu ya burudani moja tu ya karaoke inayopendwa sana na wanavyuo. hivyo kupelekea siku hiyo kuwa na impact kubwa sana na kama unavyojua club hiyo imezungukwa na vyuo mbalimbali, kama unafikiria kutoka siku ya jumanne, fikiria kwenda maisha basement ndio sehemu pekee kuna burudani nzuri ya karaoke.


KAMA UNAFIKIRIA KUTOKA MAISHA BASEMENT SIKU YA JUMANNE IWE NDIO CHAGUO LAKO KUNA BURUDANI KALI NA YAKIPEKEE KABISA HAUTAKIWI KUKOSA.
KARAOKE NITE @MAISHA BASEMENT NDIO HABARI YA MJINI

No comments:

Post a Comment