hk CONTACTS

hk CONTACTS

Sunday, November 1, 2015

MASTAA ZAIDI WAZIDI KUMPONGEZA PROFFESOR JAY KWA KUWA MH MBUNGE JIMBO LA MIKUMI, MANAIKI SANGA ASEMA MWANAMUZIKI HUYO AMELETEA HESHIMA KUBWA..!

 
STAA WA FILAMU YA WAKE UP MANAIKI SANGA
MH JOSEPH HAULE MBAE NI MBUNGE MTEULE WA JIMBO LA MIKUMI


 MWANAMUZIKI DR JOSE CHAMELEONE TOKA UGANDA
Na Mwandishi Wetu
Mastaa mbalimbali nchini na nje ya nchi wameendelea kumtumua salamu za pongezi mwanamuziki mteule Mh Joseph Haule kwa kushinda Jimbo la Mikumi.
Wakiongea na mtandao huu wa maskanibongotz mastaa hao walisema kuwa mwanamuziki huyo ameongeza heshima kwa wasanii na kuonekana kuwa wasanii nao wanaweza kufanya mambo makubwa tofauti na inavyofikiriwa.
Msanii wa Tanzania Manaiki Sanga alisema" Kaka kiukweli binafsi nampongeza sana Jay kwani ameonesha kuwa wasanii tunaweza am so happy kwa kweli" Alisema Manaiki Sanga
 Nae msanii Jose Chameleone toka Uganda kupitia mtandao amepongeza Joseph kwa kushinda jimbo hilo.
Credit: maskanibongotz

No comments:

Post a Comment