hk CONTACTS

hk CONTACTS

Wednesday, August 26, 2015

UKAWA TISHIO: SIRI YA FILAMU YA WAKE UP NA LOWASA ZAJULIKANA , WATU ZAIDI YA MILIONI 6 WAMSUBIRI JANGWANI JUMAMOSI WIKI HII..!


Maelfu ya wakazi wa Jiji la Dar wakiwa na taharuki kubwa kwa kumona mgombea Urais kupitia Ukawa Mh Lowasa hivi karibuni wakati anakwenda kurudisha fomu ya Urais
Staa wa filamu ya Wake Up Manaiki Sanga akiwa na bodigadi wake hivi karibuni Jijini Arusha wakati akizungumza na wadau na wasambazaji wa filamu Mkoani humo kwa ajiri ya kujadilina namna watakavyoweza kupata nakala za kopi ya filamu hiyo inayotarajia kutoka tarehe 31. 08. 2015
                               
 Huu ndiyo muonekano wa Posta ya filamu ya Wake Up inayotajia kutoka wiki ihayo tarehe 31. 08. 2015



Katika hali isiyokuwa ya kawaida na kushtua habari zilizovuja kisha kunaswa na mtandao huu zinasema kuwa msanii pekee wa filamu Tanzania Manaiki Sanga "The Don" amechaguliwa kuwa mmoja wa wasanii watakaokuwepo kwenye mkutano wa kwanza wa ufunguzi wa kampeni za UKAWA Jumamosi hii yata tahe 29 pale Jangwani huku filamu yake ya Wake Up itaoneshwa demo yake kwa maelfu watakaohudhuria mkutano huo.
Habari za uhakika toka kwa chanzo chetu cha habari zilisema kuwa filamu ya Wake Up ambayo wiki ijayo tarehe 31 itakuwa mtaani lakini pia siku hiyo itaoneshwa  vipande vipande ili watanzania pia waione live kabla ya tarehe 31. 08. 2015 kuwa mtaani.

Hata hivyo Manaiki alipotaufutwa ili kuthibitisha taarifa hizo alipatikana na kusema ' Kaka mimi ni mdau na kada wa Chadema na ni lazima niwepo pale kwa ajiri ya kuweka mambo sawa na huwei kuzuia mafuliko kwa mikono" Alisema Manaiki

No comments:

Post a Comment