hk CONTACTS

hk CONTACTS

Monday, July 6, 2015

WASANII HEMED NA MLELA SASA MAMBO SAFI WAMALIZA TOFAUTI ZAO KWA KUCHEZA FILAMU PAMOJA NI NDANI YA FILAMU YA WAKE UP YA MSANII MANAIKI SANGA..!



Hii ndio filamu ya Wake Up iliyomaliza bifu la wasanii Hemed na Mlela ebu bonyeza uione live bila king'amuzi
  Wasanii Hemed na Yusuph Mlela walipokutana uso kwa uso wakati wakiigiza filamu ya Wake Up iliyosheheni mastaa zaidi 30
  Msanii Yusuph Mlela



 Msanii Manaiki Sanga
Lile bifu lililokuwa limeshika kasi kubwa kati ya wasanii wenye majina hapa mjini Yusuph Mlela na Hemd Suleiman hatimae bifu hilo limekweisha kabisa baada ya wasanii hao kuamua kuweka silaha chini na kuungana kutengeneza filamu moja iitwayo Wake Up ya msanii mwenzao Maniki Sanga ambayo inatarajia kuachiwa mwanzoni mwa mwezi ujao huku Kampuni ya Steps ikisimamia kuisambaza.

No comments:

Post a Comment