hk CONTACTS

hk CONTACTS

Sunday, July 19, 2015

KHA KWELI MUNGU MKUBWA: MAAFANDE WALINAOSWA WAKILANA URODA KICHAKANI KISHA KUTIMULIWA KAZI WAOANA KABISA HADI SASA MKE MJAMZITO KABISA...!


Maafande Kitengo cha Usalama Barabarani waliotimulia kazi wakiwa kwenye mahaba mazito kazini kiasi cha kuchanganyikiwa  imedaiwa kumbe wameamua kuoana huku wakijikita kwenye biashara huko Mkoani Bukoba. Habari zaidi zilisema kuwa mwanamke huyo amenasa ujauzito kwani hivi karibuni ameonekana akitafuna mbilimbi mara kwa mara.
                                             
ITIZAME DEMO YA FILAMU YA WAKE UP YA MSANII MANAIKI SANGA ILIYOSHEHENI WASANII ZAIDI YA 30. MOVIE HIYO INATARAJIA KUTOKA MWANZONI MWA MWEZI WA NANE.


No comments:

Post a Comment