hk CONTACTS

hk CONTACTS

Wednesday, July 8, 2015

DUH: SURA YA MWANAUME HUYU YAZUA BALAA MMASAI AMCHUMBIA AKIDHANI MWANAMKE, WANANCHI WAPIGWA BUTWAA..!

 Bofya hapa uone Demo ya filamu iliyoshirikisha mastaa zaidi ya 30 ndani yake, inaitwa Wake Up inatarajia kuwa mtaani mapema mwezi wa nane


KINA MMOJA AMBAE HAKUJULIKANA JINA LAKE MARA MOJA MKAZI WA KABUKU MKOANI TANGA HIVI KARIBUNI ALIZUSHA BALAA KUBWA KUFUATIA KUCHUMBIWA NA MMASAIDI AMBAE ALIKUWA AMEDHANI NI MWANAMKE NA KUPELEKEA TUKIO HILO KUWA STORI KUBWA.
MVULANA HUYO MWENYE TABIA YA  KUJIPAKA LIPS NA KUPAKA RANGI KUCHA  AMEKUWA GUMZO MTAANI HUKU MARA KADHAA KAMPANI IKIWA NI WANAWAKE NA WANAVULANA WENZAKE AKIWAOGOPA KAMA NINI.
Credit: maskanibongotz

No comments:

Post a Comment