hk CONTACTS

hk CONTACTS

Tuesday, January 20, 2015

HYPERMAN HK ATEMBELEA BABUU SHEBUU BARBER SHOP AND CAR WASH KURASINI

 Katika sehemu nzuri yakufanya usafi wa mwili wako na mali zako ni sehemu moja tu. dsm BABUU SHEBUU BARBER SHOP AND CAR WASH Iliyopo maeneo ya kurasini katika kituo cha pentagoni
hapo utaonyeshewa gari yako kwa bei poa na kwa usafi wa hali ya juu pamoja na kunyolewa nywele zako kwa style mbalimbali.. ina wahudumu vijana wenye kuijua uzuri kazi yao.



 Hyperman hk akiwa nje ya Babuu shebuu barber shop

 Hapa akiwa na moja ya vinyozi mahiri wa babuu shebuu barber shop

 Moja kati ya kina dada warembo wa Babuu shebuu barbaer shop. huyu ni maalum kwa ajili yakukuosha na kukusafisha baada ya kunyoa na mambo mengine mbalimbali.

 Na hizi ndio bei za BABUU SHEBUU CAR WASH


I Hope umenipata usicheze mbali na vitu vizuri karibu sana BABUU SHEBUU BARBER SHOP AND CAR WASH KURASINI....

No comments:

Post a Comment