hk CONTACTS

hk CONTACTS

Friday, August 22, 2014

YALIYOJIRI MAISHA CLUB KWENYE SHOO YA TWANGA PEPETA JIJINI DAR

  Haji Ramadhani(mwenye shati nyeusi), Luiza Mbutu (wa pili kutoka kulia), Kupaza (wa kwanza Kulia) wakiwa pamoja na waimbaji wenzao kwenye shoo iliyofanyika kwenye club ya Maisha jijini Dar 
Mwimbaji wa Twanga Pepeta, Kalala Junior akicheza pamoja wacheza shoo pamojawakiwaburudisha mashabiki wao waliofika kwenye ukumbi wa Maisha jijininDar


Mwimbaji wa Twanga Pepeta, Salehe Kupaza akiwabuudisha mashabiki wao waliofika kutizama shoo yao ya nguvu
 Mwimbaji wa Twanga Pepeta, Kalala Junior (aliyeshika mike) akiendelea kuwaburudisha mashabiki wao kwenye ukumbi wa maisha jijini Dar
 Kiongozi na mwimbaji  wa bendi ya 'Twanga Pepeta, Luiza Mbutu akicheza moja ya nyimbo zao 

Wacheza shoo wa Twanga Pepeta wakifanya ya kwao kwenye club ya Maisha jijini Dar.

No comments:

Post a Comment