hk CONTACTS

hk CONTACTS

Saturday, August 2, 2014

JOSE CHAMELEONE AWAPAGAWISHA MASHABIKI WAKE KWENYE TOUR YAKE ILIYOFANYIKA MAISHA CLUB JIJINI DAR ES SALAAM


 Muimbaji wa nchini Uganda Jose Chameleone  akiwapagawisha mashabiki wake kwenye clab ua Maisha jijini Dar es salaam. Burudani hii imefanyika usiku wa kuamkia leo Jumamosi.
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Feruz akiwapungiaalipoingia kuimba na Jose Chameleone kwenye ukumbi wa Maisha jijini Dar es Salaam
 Jose Chameleoneakiendelea kuwapagawisha mashabiki wake waliofika kwenye Club ya Maisha jijini Dar es Salaam
 Msanii wa muziki wa kizazi kipya Feruz akiwaburudisha mashabiki wake kwenye shoo ya  Muimbaji wa nchini Uganda Jose Chameleone iliyopewa jina la Tubonge Tour.
 Ni mwendo wa kudodondosha moja moja



Msanii wa muziki wa kizazi kipya Profesa Jay akitoa burudani kwa mashabiki wake
 Muimbaji wa nchini Uganda Jose Chameleone akimkumbatia Profesa Jay kwa kuoonesha upendo katika moja ya nyimbo walioshirikishana.


Mc wa  Shoo ya Jose Chameleone, Hyperman HK akizungumza jambo kwenye shoo hiyo



No comments:

Post a Comment