hk CONTACTS

hk CONTACTS

Friday, April 25, 2014

MISS DAR CITY CENTER WAMEANZA MAZOEZI KWA NGUVU ZOTE

 Kile kitongoji cheje nguvu kubwa katika shindano la miss tanzania miss  dar city center... kimeanza mazoezi jana katika ukumbi wa New Maisha Club Dar es salaam...  uliopo oysterbey akiongea na blog hii ya burudani mratibu wa tamasha hilo la miss dar city center...Erick Chipelapela...amesema Warembo wako sawa..na wameshaandikisha kama warembo 30 na bado wanapokea warembo mbalimbali kwa ajili ya shindano hilo ambalo litakuwa ni la kipekee sana. linalotegemewa kufanyika tar 25 mwenzi ujao. na hivi karibuni atawatambulisha warembo wake hao.

No comments:

Post a Comment