hk CONTACTS

hk CONTACTS

Thursday, March 6, 2014

PICHA ZA SNURA AKIWA CLOUDS FM ALIPOKWENDA KUZINDUA WIMBO WAKE WA USHAHARIBU

 Kutoka kushoto ni Sudy brown,Sakina lioka ,Big ray,Sebastian maganga na Snura mwenyewe hapo baada ya kuutambulisha wimbo wake wa ushaharibu katika kipindi cha leo tena.huo ambao umeonekana kukubalika sana kabla yakutoka na baada ya kutambulishwa nyimbo hiyo.tayari wimbo wake umeshatambulishwa katika station mbalimbali zaradio,big up sana snura ngoma yako kali sana.





No comments:

Post a Comment