hk CONTACTS

hk CONTACTS

Saturday, March 22, 2014

MSANII WA BONGO MOVIE JACK PENTZEL NA GADNA DIBIBI WATIMIZA MWAKA MMOJA WA NDOA YAO


 Ile ndoa iliyokuwa na misukosuko mingi na walimwweengu kati ya msanii wabongo movie Jack pentzel na mjasiliamali  GadNA DIBIBI leo tar 22 imetimiza mwaka mmoja wa ndoa yao.akiongea na blog hii ya burudani ganda alisema'' tumepitia katika misuko suko mbalimbali ya maisha katika ndoa yetu namshukuru sana mungu leo tumetimiza mwaka mmoja wa ndoa yetu, tunashukuru sana mungu tunaomba watanzania waendele kutuombea kwani kwa sasa tuna mengi tunayoyafanya yamaendeleo nikiwa na mke wangu.
JACK na GADNA

No comments:

Post a Comment