hk CONTACTS

hk CONTACTS

Tuesday, March 25, 2014

List imetoka, wanaowania tuzo za KILI 2014 ndio hawa, zilizoachwa ziko hapa pia


Screen Shot 2014-03-25 at 11.38.42 AMBaraza la sanaa Tanzania (BASATA) limetangaza rasmi matokeo ya mchakato wa kuwapata wateule rasmi yaani ‘nominees’ wa vipengele 34 vya tuzo za muziki Tanzania.
Kabla ya kuanza kutajwa kwa wanaowania tuzo za KTMA 2014, BASATA ilitangaza nyimbo ambazo zimetolewa kwenye kuwania tuzo hizi kutokana na sababu za kimaudhui kama unavyoona hapa chini.
Screen Shot 2014-03-25 at 11.17.11 AM
List nyingine ya washiriki ndio hii hapa chini.
Screen Shot 2014-03-25 at 12.01.19 PM Screen Shot 2014-03-25 at 12.01.09 PM Screen Shot 2014-03-25 at 12.00.04 PM Screen Shot 2014-03-25 at 11.59.54 AM Screen Shot 2014-03-25 at 11.59.44 AM Screen Shot 2014-03-25 at 11.59.35 AM Screen Shot 2014-03-25 at 11.59.24 AM Screen Shot 2014-03-25 at 11.59.09 AM
Nyingine ni
WIMBO BORA WA AFRIKA MASHARIKI – Tubonge ya Jose Chameleone, Nakupenda pia ya Wyre na Alaine, Badilisha ya Jose Chameleone, Kipepeo ya Jaguar, Kiboko changu ya Amani, Weasal na Radio.
WIMBO BORA WA TAARAB – Wasiwasi wako wa Mzee Yusufu, asie kujua hakuthamini Isha na Saida Ramadhani, Nipe stara Rahima Machupa, sitaki shari Leila Rashid, fahari ya mwanamke ya Khadija Kopa, mambo bado Khadija Yusufu, kila muomba Mungu ya Mwanahawa Ally.
WIMBO BORA WA RAGGA/DANCEHALL – Nishai ya Chibwa ft Juru, Sexy Lady ya Dr. Jahson, My sweet ya Jettyman Dizano, feel alright ya Lucky Stone na wine ya Princess Delyla.
WIMBO BORA WA KUSHIRIKISHWA/KUSHIRIKIANA – Muziki gani ya Ney wa Mitego ft Diamond, Joto hasira ya Lady Jaydee ft Prof J, kidela ya Ally Kiba na Abdu Kiba, bila kukunja goti ya MwanaFA, Ay ft J Martins na tupogo ya Ommy Dimpoz ft J Martins.
RAPA BORA WA MWAKA WA BENDI – Kitokololo, Chokoraa, Ferguson, Canal Top na Totoo ze bingwa.
MTUMBUIZAJI BORA WA KIKE WA MUZIKI 

No comments:

Post a Comment