hk CONTACTS

hk CONTACTS

Thursday, March 27, 2014

Linex Amelalamikia Kuvujishwa Kwa Wimbo Wake ‘Shaina’


Msanii mwenye sauti ya peke Linex Aka Leka Maker amelalamikia studio na producer wa Kama Kawa Kwa kusambaza wimbo wake “Shaina” alofanya na producer huyo. Linex anasema hakuwa na mpango wa kuanza mwaka 2014 na wimbo huo.
Comment hizi aliweka Facebook na Instagram.
“Mwaka huu sijatoa wimbo mimi nashangaa watu wanavovujisha vujisha ngoma zangu shaina sio plan yangu mimi nimerecord kwa dogo studio kama kawa yule mtoto kaipeleka radio amenichefua sijawah mdiss mtu but itafikia wakati maproducer wadogo watakosa nafasi yakufanya kazi na kaka zao kwa ajiri ya ujinga wao wenyewe bado time yangubya kutoa wimbo haijafika ningeomba radio zistop kuucheza huo wimbo #Aksanten”
Kupitia Sammisago.com Linex ameomba Radio Staion Tanzania kutopiga wimbo huyo sababu sio Official Release Kutoka kwake, Mjeda anasema hii ndio hatua ya kwanza Linex amechukua dhidi ya Producer Huyu Wa Kama Kawa.

Comments

No comments:

Post a Comment