hk CONTACTS

hk CONTACTS

Friday, March 21, 2014

ALICHOKISEMA SNURA BAADA YA PICHA ZAKE KUONEKANA YUPO KWA MGANGA

 Jaman jaman picha zangu zote zilitoka hata sijui nani aliziediti nakubakisha ambazo hazinna camera lakini ukweli ni kwamba ile ilikuwa na movie nilikuwa nafanya na ni movie ya DOTNATA inaitwa MLOKOLE. 

Nashangaa napigiwa simu naulizwa snura umeonekana kwa mganga unaronga kwakweli nilishangaa sana, kuja kuangalia picha naona picha za movie ya Mlokole Nikabaki kucheka tu nikajua ndio mambo ya uhuru wa vyombo vya habari hivyo.

Snura atabaki kuwa snura hawawezi kumshusha hata kwa dawa najua kuna kundi la watu wanatamani sana kunishusha lakini hawawezi kunishusha kwa style hiyo kabisa.... ukiangalia izzo picha kuna uchawi hapo au filamu tu....


 Snura akiwa kazini upande wa filamu akifanya filamu inayoitwa MLOKOLE





Subiria movie ya mlokole is coming soon......

No comments:

Post a Comment