hk CONTACTS

hk CONTACTS

Friday, March 21, 2014

ALICHOKIANDIKA HAMMER Q KUHUSU AJALI YA 5 STARZ LEO KUFIKISHA MIAKA 4 TANGU NAE ANUSULIKE KWENYE AJALI HIYO

Kiukweli ni tukio linalosikitisha sana katika historia ya muziki tanzania..... ebu chukua dakika zako japo 3 kusoma alichokiandika haamer q facebook kuhusu tukio hili linavyomuumiza,

HAMMER Q

'' Kila inapofika tarehe kama ya leo ya mwezi huu (21/3/20011)
moyo wangu huumia sana na hukosa furaha kabisa 

Nitarehe niliyopoteza rafiki /ndugu zangu 13 papo hapo katka ajali ya gari iliyotokea morgoro( mikumi) 
Tukiwa safarini tukitokea kyela mkoani mbeya tukirudi dsm
Mimi nilishuka njiani Kwa sababu ya mishe zangu nyengine baada ya mda nikapata cm ya kunitaarifu kuwa wenzangu wamepata ajali na wametangulia mbele ya haki dah nilidata Kwa kweli ule mshtuko niloupata siku ile kila inapofika tarehe ya Leo hua napatwa na mshtuko km ule 
Kazi Yake mola Haina makosa mbele yao nyma yetu Mungu awalaze mahala pema peponi Aamin''

No comments:

Post a Comment