hk CONTACTS

hk CONTACTS

Monday, February 24, 2014

HUYU NDIO MSANII CHIPUKIZI ANAEFANYA VIZURI KWA SASA ANGALIA KAZI YAKE HII

Msanii chipukizi anaefanya poa katika game ya bongo fleva ni huyu kijana anayejulikana kwa jina la y tonny na hii ni video yake mpya kabisa inayokwenda kwa jina la pendo... baada ya ule wimbo wake ulimtambulisha kwa nguvu zote... unaojulikana kwa jina la MASEBENE wimbo uliopenya vizuri katika game unaokubalika na kila mtu watoto mpaka wakubwa unaweza kuandika namba 23 y tonny kisha ukatuma kwenda 15440 utamuwezesha kumchagua kushiriki katika kinyanganyiro cha msanii bora chipukizi kwenye tuzo za kili muziki awards.... hapa angalia video ya wimbo wake uliomtoa na kufanya vizuri kwenye game MASEBENE..... 
Hapa angaliauzuri pich za y tony mzee wa masebene
 y tony

No comments:

Post a Comment