hk CONTACTS

hk CONTACTS

Tuesday, January 7, 2014

ZITTO KABWE ASHINDA HUKUMU YA KESI YAKE.


Mahakama kuu ya kanda ya dar es salaam, leo imetoa hukumu ya kesi ya mbunge wa kigoma kaskazini (chadema) zitto kabwe ambapo imempa kinga ya muda kutojadiliwa na uanachama wake na kamati kuu ya chadema!

No comments:

Post a Comment