hk CONTACTS

hk CONTACTS

Friday, January 3, 2014

MWAKA MPYA NA MLIPUKO WA BEI MADUKANI

Katika hali ya ghafla mwaka mpya umeingia na mlipuko wa kupanda kwa bidhaa mbalimbali masokoni na madukani, camera yetu ilitembelea kwenye duka moja lilipo kariako hali ya bei ndio kama unavyooona hapo kwenye picha, bei ya mpunyenye imepanda , tutakula wali mwaka huu kweli?

No comments:

Post a Comment