hk CONTACTS

hk CONTACTS

Thursday, January 16, 2014

GAZETI LA MASKANI BONGO LEO TAREHE 15,KIGOGO WA URAIS 2015 AITEKA BONGO MOVIE..!




Na Mwandishi Wetu
MTU anayetajwa kuwa atagombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika uchaguzi mkuu ujao kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) anadaiwa kuliteka kundi la wasanii wa filamu lijulikanalo kama Bongo Movie, ambalo sasa linaongozwa na Mwenyekiti mpya, Steve Mengere maarufu kama Steve Nyerere, Maskani Bongo limeelezwa "PATA FULL STORI KWENYE GAZETI LAKO MASKANI BONGO LEO MTAANI

No comments:

Post a Comment