hk CONTACTS

hk CONTACTS

Sunday, December 22, 2013

HII NI AIBU KUBWA, BASATA WAIRUHUSU FILAMU YA MANAIKI SANGA ILIYOLALAMIKIWA ISAMBAZWE MTAANI, INATOKA TAREHE 23/12/2013..!






















Na Sakina Shabani
Ile filamu iliyozungmziwa sana ya msanii Manaiki Sanga "The Don" hatimae imeruhusiwa kusambazwa na mtaani huku maelfu ya wananchi wakitarajia kuitizamana.
Habari za uhakika zilizonaswa na mtandao huu wa Xdeejayz imesema kuwa filamu hiyo iitwayo NGEMA imeruhusiwa na baraza la sanaa la Taifa BASATA na  kesho tarehe" 23/12/2013 itakuwa mtaani.
Hata hivyo maelfu ya watanzania wameonekana kusibiri filamu hiyo ambayo imelalamikiwa sana na wananchi ambao wamefanikiwa kuiona wakidai imejaa ufuska mkubwa.Aidha haikufahamika kampuni iliyochukuwa jukumu la kusambaza filamu hiyo lakini tangu juzi postaz za filamu hiyo zimeonekana barabarani zikionesha tarehe ya kutoka filamu hiyo" USIKOSE KUSOMA GAZETI LA MASKANI BONGO KILA JUMATANO KWA BEI YA 500 TU"

No comments:

Post a Comment