hk CONTACTS

hk CONTACTS

Friday, December 6, 2013

BAADA YAKUFANYA BALAA KWENYE PARTY YA ABC BANK XTREME DEEJAYZ LEO WAPO UWANJA WA NYUMBANI

 Wiki moja imepita tangu xtreme deejayz kufanya makamuzi ya maana kwa watunza fedha wa BANK ABC na leo kama kawaida yao wapo new maisha club dar kutoa burudani kutosha katika ukumbi huo.kwa kiingilio cha buku 10 tu. unapata nafasi yakuona tofauti ya upigaji disco tanzania kwa kutumia drums
hivi ndivyo jinsi ukumbi ulivyopambwa
zungu mnyama

hyperman hk
dvj majey
zungu mnyama na mkuu wa bank ya abc
xtreme deeejayz hyperman hk,dvj majey, na zungu mnyama the drumer

No comments:

Post a Comment