hk CONTACTS

hk CONTACTS

Tuesday, November 5, 2013

JAHAZI NA FIVE STAR WAMGOMBANIA SNURA NI BAADA YA KUMFUNIKA KHADIJA KOPA DAR LIVE

 Jahazi moderm taarab na five star taarab kwa nyakati tofauti wamejikuta kutaka kufanya show jukwaa moja na mwadada anaetamba na wimbo wake wa Nimevurugwa SNURA MAMAA MAJANGA siku moja katika kumbi tofauti akiongea na blog hii ya burudani manager wa Msanii snura HK alisema band hizi zimevutiwa sana na show aliyoifanya snura juzi jumapili katika ukumbi wa dar live kwenye show yakumtoa malkia wa taarab tanzania khadija kopa.SNURA alipiga show kali sana huyu binti hakuna msichana katika muziki wa bongo fleva ambae unaweza kumfananisha na snura kwa sasa snura hashikiki kabisa.akizungumzia show za band hizo za taarabuzinazomtaka snura amesema mwenye kisu kikali ndio atakaekula nyama.
 jahazi
five star

No comments:

Post a Comment