hk CONTACTS

hk CONTACTS

Friday, August 16, 2013

WALIOCHAGULIWA KUSHIRIKI TUZO ZA MTV VIDEO AWARDS (VMA) HAWA HAPA


Mtu wangu wa kweli waeza ukawa unajua lakini nipo
hapa kukujuza zaidi...uko unyamwezini


Kituo nguli Duniani kwa maswala ya muziki kutoka
nyanja zote za dunia kila ifikapo kipindi fulani
au tarehe fulani wanakuwa na Tuzo zao,zipo nyingi siwezi
orodhesha zote lakini nipo hapa kukutajia hiki
kimoja tu cha MTV VIDEO MUSIC AWARD 2013(VMA).
Tuzo hizo zinatazamiwa kufanyika ndani ya
tarehe 24.8.2013 na baadhi ya wasanii
wameweza kuwekwa kwenye vitengo mbali mbali
kuwania baadhi ya tuzo toka kwenye
VMA....

Yafuatayo ni Majina ya washiriki na wagombea wa
 tuzo tofauti za (MVA) yacheki hapa:
Video Of The Year:
  • Katy Perry - Wide Awake
  • Gotye - Somebody That I Used To Know
  • Rihanna - We Found Love
  • Drake featuring Rihanna - Take Care
  • M.I.A. - Bad Girls
Best New Artist:
  • Fun. featuring Janelle Monae - We Are Young
  • Carly Rae Jepsen - Call Me Maybe
  • Frank Ocean - Swim Good
  • One Direction - What Makes You Beautiful
  • The Wanted - Glad You Came
Best Hip-Hop Video:
  • Childish Gambino - Heartbeat
  • Drake featuring Lil Wayne - HYFR
  • Kanye West featuring Pusha T, Big Sean & 2 Chainz - Mercyv
  • Watch the Throne - Paris
  • Nicki Minaj featuring 2 Chainz - Beez in the Trap
Best Male Video:
  • Justin Bieber - Boyfriend
  • Frank Ocean - Swim Good
  • Drake featuring Rihanna - Take Care
  • Chris Brown - Turn Up the Music
  • Usher – Climax
Best Female Video:
  • Rihanna - We Found Love
  • Katy Perry - Part of Me
  • BeyoncĂ© - Love on Top
  • Nicki Minaj - Starships
  • Selena Gomez & The Scene- Love You Like a Love Song
Best Pop Video:
  • One Direction - What Makes You Beautiful
  • Fun. featuring Janelle Monae - We Are Young
  • Rihanna - We Found Love
  • Justin Bieber - Boyfriend
  • Maroon 5 featuring Wiz Khalifa – Payphone
Best Rock Video:
  • Coldplay - Paradise
  • The Black Keys - Lonely Boy
  • Linkin Park - BURN IT DOWN
  • Jack White - Sixteen Saltines
  • Imagine Dragons - It's Time

No comments:

Post a Comment