hk CONTACTS

hk CONTACTS

Wednesday, August 21, 2013

TUKIO LA KUSTAAJABISHA:MTU NA MKEWE WALALA NDANI KWA HATIME KUJIKUTA WAMELALA NJE KWEUPEEEE!!! CHEKI PICHA HAPA


MTU huyu na mkewe walilala ndani kwao kama kawaida mara kulivyokucha wakajikuta katikati ya uwanja wameziringirwa na halaiki ya watu wakiwashangaa!!!! Walio wengi wali
hamishia hisia zao katika imani za kishirikina! Hebu msomaji wangu niambie je ingekua wewe ndio umekutwa na haya majanga ungehisi ni nini?

No comments:

Post a Comment