hk CONTACTS

hk CONTACTS

Friday, August 23, 2013

HUYU NAE ATUPIA ZA UTUPU MTANDAONI KISA UMAARUFU DUUU TUTAKWISHA NA USTAR WAKULAZIMISHA

Hivi karibuni wasanii wengi waTanzania hasa wa jinsia ya kike wamekua wakipiga picha za utupu. Wengine wamekua wakipiga na wepenzi wao kwa matumizi yao binafsi na wengine wamekua wakipiga ilimladi wawe wanajiona tu kwamba nao ni warembo au wanamvuto, wengine wamekua wakipiga pucha hizo kufuata mkumbo wa rafiki zao, wengine wamekua wakipiga picha hizo ilikujipatia umaarufu mkubwa nchini lakini kuna wengine wamekua wakipiga picha hizi kwasababu ni wapumbavu tu na hawana akili za kuamua mambo vizuri.

Sasa shughuri inaanza pale njia wanazotumia kutunza picha zao hizo zinapofikiwa na mahasimu wao au watu wasiopenda mema yatokee kwao, hawa watu hututumia picha hizo sisi wamiliki wa mitandao ya habari ilikuwafikia watu wengi zaidi, na sisi bila hiyana tunaziweka picha hizo ndani ya mtandao kwani ni moja kati ya majukumu yetu ya kila siku kuwapasha habari wasomaji wetu.



maoni yako hapa

1 comment:

  1. hila wanaopiga picha za utupu na kuziweka kwenye mtandao wamekosa akili

    ReplyDelete