Huyu ndiye model wa Tanzania aliyepata dili ya kutangaza nguo na viatu vya kampuni ya Adidas
Jina lake anaitwa Danny David ni Mwanamitindo wa kume toka Tanzania na mwanamitindo pekee toka Tanzania alipata nafasi ya kufanya kazi ya kutangaza nguo na viatu vya kampuni kubwa ya Adidas tawi la Afrika ya kusini.
SAFIIIIIIIII.
No comments:
Post a Comment