Kaka wa P-Square Akisimamia |
Wanamuziki wawili wanaounda kundi la P-Square hivi karibuni wameweka picha za picha za ujenzi wa jumba lao la kifahari unaoendelea jumba waliloliita Square-Ville Mansion.
Nilishawahi kukuwekea picha ambazo zilionyesha hatua ya awali za ujenzi huo kipindi ambacho jumba hilo lilikuwa kwenye hatua ya chini kabisa na hii ni baada ya miezi kadhaa, ikikaribia kuisha.
No comments:
Post a Comment