hk CONTACTS

hk CONTACTS

Thursday, May 30, 2013

MAJIBU YA KIKAO CHA WASANII KUHUSU MLIUPO ULIPO NA MAELEKEZO


 Mwenyekitu wa msiba wa marehemu albert magwea ADAM jJUMA akiongea na wasanii kuelekeza juu ya msiba ulipo pamoja na sehemu yakwenda kumzika marehemu albert magwea alisema " msiba utafanyika mbezi beach kwa kaka yake na marehemu na kuzika atazikwa kihonda morogoro baada ya mwili wa marehemu kuingiua nchini ratiba zingine zitafatwa.
 prof j akiongea na waandishi wa habari


 Flaviana matata na barnabas walikuwepo
 wasanii walionekana kuwa na uzuni mkubwa
prof j

No comments:

Post a Comment